Travel with NAKUTI

Mombasa Edition.

Travel with NAKUTI

Travel with NAKUTI 2560 1280 nAkdmin

 

Allow me to give the @BE Experience Company a shout out  for putting together this trip down the coast, Sijui walijuwa nilikuwa nimehata Mombasa.

It had been close to one and a half years since I stepped foot there . Maexcitements nazo, nikasema round hii lazima  ni document kitu, Story ya ku post mapicha pekee, tumewacha.Tupigie mafans  sinema  wajienjoy ama namna gani?

Kuongezea chumvi BE   wakanipandisha ndege na Kutulalisha @Sarova Whitesands , Msee nini ingine kama sio content safii.

Enjoy the watch, Subscribe Youtube, na uwache comment.

1 Comment